Askari wa jeshi la P0LISI wakilinda
usalama kwa wenzao wa jeshi la mgambo wakati wa kampeni ya usafi wa
mazingira na kuondoa vibanda vyote vya biashara vilivyopo kandokando ya
barabara ya morogoro maeneo ya magomeni mpaka ubungo:PICHA NA HUDUGU MJENGWABLOG



