Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Showing posts with label vituko. Show all posts
Showing posts with label vituko. Show all posts

Wednesday, January 15, 2014

kama haukupata nafasi ya kusoma ule UTABIRI ULIONYESHA MWISHO WA DUNIA NI LINI HUU HAPA umezuaa gumzo kwenye mitandao DUNIANI





WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua.

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na...

hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea.

ITAONEKANA ANGANI KAMA MWEZI
Kwa mujibu wa mitandao hiyo ya kisayansi, sayari hiyo ambayo inaisogelea dunia kwa kasi kubwa, itaonekana kubwa na angavu wakati wa usiku angani na kuwa katika umbo la mwezi na hivyo kufanya miezi ionekane miwili.

DALILI KWAMBA IPO JIRANI
Taarifa zaidi za kisayansi zinasema kuwa, kadiri sayari hiyo inavyozidi kusogea, dunia itaanza kutikisika na kusababisha matetemeko ya ardhi kuongezeka sehemu mbalimbali.

Mbali na dunia kutikisika na matetemeko, milipuko ya volcano nayo itatokea huku idadi kubwa ya milipuko hiyo mipya ikiongezeka, vimbunga vikubwa kama Tsunami vitaibuka na mwishowe dunia itapigwa na bomu la miamba midogo na vimondo kutokea angani.

DUNIA ITAKUMBWA NA GIZA NENE
Wakati volcano zote duniani zitakapoanza kulipuka na zingine mpya kujitokeza, dunia itafunikwa na giza nene  na matope kwa wakati wote wa usiku na mchana huku watu wakitakiwa kusoma katika Biblia Joel 2: 1-2 na Zephaniah 1:14-17.

NI TUKIO LA AINA YAKE KARNE YA 21
Nibiru inatajwa kama kitu kinachoisogelea dunia kinachoaminiwa kusababisha madhara makubwa ambapo kama hakitaigonga dunia, kitasababisha mtikisiko usio wa kawaida kitakapopishana nayo. Baadhi ya wanasayansi wanaamini kuwa kitendo hicho kitatokea mapema katika karne ya 21 (tuliyonayo sasa).

WANASAYANSI WAPINGANA
Baadhi ya wanasayansi wanapinga kwa maelezo kwamba hakuna ushahidi wowote wa kitafiti unaoonesha wazi kwa mabingwa wa anga za juu waliobobea wa masuala ya nyota.

MWANAMKE ALIWAHI KUOTA NDOTO
Kwa mara ya kwanza jambo hilo lilitokea mwaka 1995, wakati mwanamama Nancy Lieder muasisi wa mtandao wa ZetaTalk, aliwahi kudai kuoteshwa ndoto kwamba, Mei 2003 kuna kitu kitaingilia mfumo wa jua (solar system) na kusababisha dunia kutoboka tundu litakalosambaratisha sehemu kubwa ya kizazi cha binadamu.

Lieder aliifafanua kuwa, kitu hicho kitakuwa na ukubwa wa mara nne ya dunia.

BAADA YA NDOTO
Baada ya mwanamama Lieder, mtu wa kwanza kuizungumzia Nibiru alikuwa Mark Hazlewood, mwanachama wa zamani wa mtandao wa ZetaTalk ambaye mwaka 2001 alichapisha kitabu kilichoitwa Blindsided na kusema kuwa mwisho wa dunia ungekuwa mwaka 2003 baada ya kuwasili kwa sayari ya kumi (Nibiru).

Katika mfumo wa sasa, baadhi ya wanasayansi wanasema sayari ziko 12, wakizitaja kwa namba 1. Jua 2. Mercury 3. Venus 4. Dunia 5. Luna (mwezi) 6. Mars 7. Jupiter 8. Saturn 9. Uranus 10. Neptune 11. Pluto 12. Nibiru.

IMANI NYINGINE YASEMA MWISHO WA DUNIA NI FEBRUARI 22, 2014
Hata hivyo, utabiri mpya uliotolewa na watu wa jamii ya Vikings jijini New York, Marekani umesema mwisho wa dunia ni Februari 22, mwaka huu.

Mitandao mbalimbali pamoja na gazeti maarufu la Daily Mail la Uingereza lilielezea utabiri huo uliofanywa na jamii hiyo ukidai kuwa mwisho wa dunia utatokana na Mungu Odin kupigana na kuuawa na shetani Wolf Fenrir, hivyo kuiachia dunia anayoishikilia.

Wamesema baada ya kuiachia dunia itafurika maji ambayo yatakuwa na sumu, hivyo viumbe wote watateketea.

WATUMISHI WA MUNGU TANZANIA
Baadhi ya watumishi wa Mungu nchini wamekuwa wakisimamia andiko la kwenye Biblia linalosema kuwa, hakuna mwanadamu anayeijua siku wala tarehe ya mwisho wa dunia na ni siri ya Muumba.

Makanisa mengi nchini Tanzania yana sera tofauti lakini yanaongozwa na Biblia moja. Makanisa hayo ni Romani Katoliki, Lutheran (KKKT), Anglikana na makanisa ya kiroho kama Full Gospel& Bible Fellowship la Zakaria Kakobe.

FREEMASON WABARIKI
Jamii ya Freemason tayari imebariki mwisho wa dunia kwamba umefika na dunia inatarajie tukio kubwa la pamoja.

Mitandao ya jamii hiyo inataja kama hizi ni nyakati za mavuno kwa maana kwamba, upande wa Mungu na shetani kushindania watu huku waendao upotevuni  wakiwa wengi.

MFUMO WA DUNIA TANGU KUUMBWA
Kwa mujibu wa kitabu kinachoitwa Panorama ya Biblia, ulimwengu tangu kuumbwa kwake umekuwa na matukio makubwa kila baada ya miaka 2000 (inaweza isitimie au ikapita kidogo).

Tangu kuumbwa kwa Adamu na Eva mpaka gharika inadaiwa ni miaka 2000. Gharika hadi dunia kubadili mfumo wa mawasiliano (Mnara wa Babeli) ni miaka 2000. Kuzaliwa kwa Yesu hadi saa ni miaka 2000 ambapo katika karne hii, dunia huenda ikaingia katika tukio kubwa sana ambalo halijawahi kutokea.

Source:Global publishers.
Read More >>

Sunday, July 28, 2013

VIDEO: USAFIRI WA TRENI WENYE VITUKO NCHINI KENYA




2 
Ni kweli Matatu a.k.a daladala za Kenya zikigoma huwa hapakaliki kwa sababu abiria wanakua wengi na hawamudu bei za taxi.
Hii video ya ripoti ya KTN Kenya nimeitazama zaidi ya mara 4, aisee toka nimezaliwa sijawahi kuona aina hii ya usafirishaji wa abiria kwenye treni kama ambavyo huwa inatokea Nairobi Mabasi yanapokua kwenye mgomo wa kubeba abiria.
Ni kawaida kuona treni imejaa abiria ila sio kwa kiasi hiki, kwa spidi iliyonayo lakini watu wameifanya kama baiskeli yani..
Read More >>

Saturday, July 20, 2013

Video:Aibu Baba na mwanae wakamatwa wakifanya mapenzi na kuku

Nchini Kenya katika kijiji cha Kigwandi, wilayani ya Tetu, mwanaume mmoja anashilikiliwa katika kituo cha polisi baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na kuku.

Mwanamume huyo mwenye umri wa zaidi ya miaka 50 alikamatwa akifanya kitendo hicho na kuku juzi jioni na mwanae mwenye umri wa miaka 10 aliyeamua kumwita kaka yake na ndipo ikasaidia kukamatwa kwa mtu huyo.

Kaimu afisa mkuu wa polisi katika eneo hilo, Joseph Mwika alisema mtoto wa jamaa huyo alimuarifu ka’kake mkubwa baada ya kumfumania babake akifanya kitendo hicho na wawili hao walimripoti baba yao kwa chifu wa eneo hilo ambaye alimkamata na kumpeleka katika kituo cha polisi.
source:Standard Digital,kenya
Read More >>

Thursday, July 18, 2013

Video: Mganga aliyeiga kufanya ya Babu wa Loliondo, achezea kichapo baada ya kushindwa kutibu watu



Babu wa Loliondo aliweza ku hit katika kutumia 'Kikombe' kutibu watu na inasemekana baadhi walipona na baadhi hawaku pona.
Huyu ni mmoja wa waganga nchini Kenya ambaye na yeye ameamuwa kutumia kikombe kutibu wananchi nakushindwa kufanikisha, zaidi ya kusababisha wauguwe na kupelekea maisha yao hatarini.
Wananchi wa eneo hilo ndipo walipo mgeuzia kibao na kuanza kumpa kichapo cha maana. Tazama video hapa
Read More >>

Tuesday, July 16, 2013

Hivi kweli huyu anafaa kuitwa mama bora??? awatosa wanae wa umri wa miaka 5 na 3 nje ili akahudhurie show ya lil wyne....toa maoni yako kwa mama huyuuu


A trip to the “Lil Wayne’ concert at the Cruzan Amphitheatre Sunday night ended on a bad note for a mother of two.
The Palm Beach County Sheriff’s Office says that Brittany Harris left her two children aged 5 and 3 in the parking lot of the Amphitheatre while she attended the concert.
An employee of Cruzan says that he saw the two children in the parking lot around 7 p.m.
At 9:45 p.m. he spoke with the children and learned that Harris left them to stay in a car unsupervised. The children were brought to PBSO deputies at the north end of the concert.
Deputies caught up with Harris when she left the concert and went to the parking lot. Harris, according to investigators, denied bringing her children but later admitted that she left them in car so she could go to the concert.
Harris according to PBSO ways arrested on two counts of child neglect.
Deputies say that the kids were allowed to roam a busy parking lot with an estimated 9,000 people, numerous vehicles and intoxicated patrons.
PBSO the Department of Families and Children has taken custody of Harris’s children
Read More >>

Monday, July 15, 2013

ANGALIA PICHA ZA JAMAA AFARIKI DUNIA WAKATI AKITAKA KUWEKA RECORD YA KUVUKA MTO KWA KUTUMIA NYWERE ZAKE

Sailendra Nath Roy (50) kazaliwa India amefariki dunia wakati akitaka kuweka record ya kuvuka mto kwa kutumia nywere zake amabozo anakuwa amezifunga kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake. Lakini kwa bahati mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo nywele zilig'ang'ania kwenye waya huo na kujaribu kujinasua lakini ikashindikana.
Roy alianza vizuri
Hapa ndio baada ya nywele za Sailendra Nath Roy kunasa na kuaza kujaribu kujinasua
Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta
Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nyele zake kig'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele


Read More >>

iPhone 5 YASABABISHA KIFO CHA MREMBO HUYU.

Ma Ailun ... in flight attendant uniform
Inarepotiwa kwamba kampuni ya APPLE watengenezaji wa simu aina ya iPhone 5 wameanza uchunguzi baada ya maisha ya mwanadada mrembo pichani kukatishwa na kichao daiwa shoti ya umeme iliyo tokana na simu yake aina ya iPhone 5. 

Ma Ailun, 23, alipatwa na shoti ya umeme wakati akijibu simu yake ikiwa kwenye charge inarepotiwa. Ajali hiyo mbaya hadi kufikia kupoteza maisha ya mrembo huyo ilitokea Alhamisi iliyopita nyumbani kwake Xinjiang Province nchini China. 

Mrembo huyu ambaye alikuwa muhudumu wa kwenye shirika la ndege la China Sourthern Airlines na kuacha kazi hiyo hivi karibuni alinunua simu hiyo mwezi Desemba kweney duka la Apple nchini humo na alikuwa anatumia charger halisi ya Apple pia familia yake inareport.

Kaka yake amesema simu hiyo pamoja na charger yake vimekabidhiwa polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Mzungumzaji wa kampuni ya Apple amesema: "Tunasikitishwa sana na tukio lilitokea na tuanatoa pole kwa familia ya Ma Ailun. Tutachunguza kwa kina na kushirikaina kikamilifu katika uchungunguzi wa jambo hili."

Tukio hilo limewapa wasiwasi watumiaji wa simu hiyo huku wataalam huko Hong Kong wakionya watu kuto tumia vifaa vyovyote vya umeme vikiwa kwenye charge (umeme).

Johnny Sin Kin-on, profesa katika chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia kilichopo  Hong Kong amesema:   "Kuna hatari ya kutumia kifaa cha umeme chenye betri wakati kikiwa kwenye charge (umeme), iwe shaver (kinyoleo) au simu."

Simu aina ya iPhone 5 imekuwa imekuwa ikipokea malamiko mengi toka iingie sokoni kutoka kwa wateja wake. Malalamiko yalikuwa pamoja na ubunifu (utengenezaji) wake kutokuwa mzuri, charger yake pamoja na apps yake ya rami kutokuwa na ufasaha.

Wiki iliyopita iPhone 5 ilionekana kuwa ni simu ambayo imepoteza umaarufu na mauzo yake kushuka sana nchini Uingereza. Na katika test za Benchmark pia imeonekana kuwa na NUSU ya speed,  ukilinganisha na simu aina ya Samsung Galaxy S4 ambayo kwa sasa iko juu sana.


Credit: Jestina-George.com,
Read More >>

Saturday, July 13, 2013

VIDEO:The Hadzabe bushmen at Lake Eyasi, Tanzania




Watch the video (below) by Transsyl vanian — The Hadza, or Hadzabe, are an ethnic group in north-central Tanzania, living around Lake Eyasi in the central Rift Valley and in the neighboring Serengeti Plateau. The Hadza number just under 1000. Some 300--400 Hadza live as hunter-gatherers, much as their ancestors have for thousands or even tens of thousands of years; they are the last full-time hunter-gatherers in Africa.
Read More >>

Thursday, July 11, 2013

ANGALIA PICHA YA MZEE ALIYEJITOKEZA KUMFUFUA MWL.NYERERE

MAAJABU YA MBEYA HEBU SOMA HII KWA MAKINI KABISA.

Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM, 

anasema yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa aliyefariki Miaka 15 iliyopita, 

Na huo ufunguo ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia! 

Madai yake mzee huyu anasema anaenda kumfufua na Mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka 2015.

 Na pia anaibashiria CCM kuwa mshindi atatoka katika chama cha CCM. 


UKIWA KAMA KIJANA MWANATANURU LA FIKRA WAZA KWA KINA HALAFU TAFAKARI TANZANIA IJAYO ITAKUWAJE...?

Na Pia Vuta hisia tukio la Babu wa Loliondo.

(Chanzao cha habari hii ni Ukurasa wa Radio ya Kyela FM)
Huyu mzee alifika katika studio za Kyela FM,
anasemA yeye anahitaji Msaada anataka kwenda kumfufua Mwl. Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa aliyefariki Miaka 15 iliyopita,
Na huo ufunguo ameushika mkononi ndiyo wa kumfufulia!
Madai yake mzee huyu anasema anaenda kumfufua na Mwalim ndiye atakuja kusimamia uchaguzi wa mwaka 2015.
Na pia anaibashiria CCM kuwa mshindi atatoka katika chama cha CCM.
(Chanzao cha habari hii ni Ukurasa wa Radio ya Kyela FM)

Read More >>

Mwanamke Avuliwa Nguo zote Baada ya Kuingia Stand ya Mabasi Akiwa na Nguo Fupi


Biashara zote zilisimama kwa muda katika stendi kuu ya mabasi ya Bomet nchini kenya wikiendi hii baada ya kundi kubwa la wanaume kumvamia mwanamke mmoja aliyekuwa amevaa kingua kifupi na kisha kumvua huku wengine wakimchezea nyeti zake.....
Mwanamke huyo ambaye inadaiwa alienda katika stendi hiyo kufanya booking ya basi,alikutwa nakisanga hicho baada ya kuvamiwa na kundi kubwa la wapiga debe na vibaka ambao walianza kwa kumzomea na kumrushia makopo ya maji......
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo,sakata hilo lilichukua takribani dakika 15 za kumzomea na kumtukana wakiwa wamemzunguka kabla ya kumvua nguo zake.....
"Walimzomea na kumtukana vibaya huku wakiwa wamemzingira.Juhudi za wanawake wasamaria wema kumuokoa zilikwamakwa kuwa kundi lilikuwa kubwa na wao walikuwa wanaogopa kufanyiwa hivyo"...Alisema shuhuda huyo
Mbali na shuhuda huyo,Bwana Sang naye analielezea tukio hilo kwa kudai kuwa ile sketi ilikuwa ni zaidi ya fupi na pia ilikuwa nyepesi na ndani ndani hakuwa na kitu, hali iliyosababisha wapiga debe hao wamvae na kumvua.....
Bwana Sang anadai kuwa kesi nyingi za ubakaji zimekuwa zikisababishwa na wanawake wenyewe kutokana na mavazi yao wanayoyavaa....
Baada ya tukio hilo kupamba moto, polisi walifika japo walichelewa na hatimaye kufanikiwa kumwokea mrembo huo mikononi mwa vibaka hao....
Kutokana na tukio hilo,shirika la maendeleo yawanawake limelaani vibaya tukio hilo na kuahidikuchukua hatua kali zaidi endapo udhalilishaji huo utaendelea na kufumbiwa macho....
Read More >>

ANGALIA PICHA ZA KIJANA WA KIAFRIKA WA MIAKA 23 AMUOA KIBIBI KIZEE CHA KIJERUMANI CHENYE MIAKA 83


How can a 23 Year old boy marry a mama old enough to be his grandma?
They look so happy together. Big congrats to them.
Read More >>

Milionea akodi ‘private jet’ kwa shilingi milioni 162 kumsafirisha paka wake kutoka Urusi hadi Marekani

Paka mwenye jina Marsik wa Urusi amesafirishwa na ndege binafsi ya Paramount Business Jets (PBJ), kutoka Urusi hadi Marekani kwa gharama ya dola laki moja ambazo ni sawa na shilingi milioni 162 za Tanzania.
Akisafiri kutoka Urusi hadi Marekani, Marsik anadaiwa kupata huduma ya nguvu kabla hajapanda na ndani ya ndege hiyo.
Vyeti vyake vya afya vinavyoonesha chanjo alizopata alivipata saa 24 kabla ya safari kuanza.
Tajiri huyo anadai kutumia kiasi chote hicho ili kuhakikisha kuwa paka wake anafika Marekani salama na kuepuka kunyanyasika ama kifo kwakuwa baadhi ya wanyama wanaosafiri kwa ndege za kawaida huwekwa kwenye sehemu ya mizigo hupoteza maisha.

Read More >>

Sunday, June 30, 2013

VIDEO YA KIJANA ANAE TEMBEA HEWANI HUKU AKIWA KASHIKA BUS


British Magician called Dynamo was spotted flying in the air whiles holding a moving bus. Magician Dynamo ‘catches a ride’ on a London bus leaving tourists and Londoners spellbound. The 30-year-old appeared to hover beside the double decker as it visited several of the city’s landmarks.
Although it was clear something was up on the number 543 bus (which does not exist in real life),  anybody who saw the stunt couldn’t understand how he had actually pulled it off.
The illusionist, whose real name is Steven Frayne, was promoting Pepsi Max’s Live for NOW campaign, but is is not the first time he has taken the public’s breath away.
Read More >>
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...