Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, June 3, 2013

MSHINDI WA DROO YA KWANZA YA WINDA NA USHINDE AKABIDHIWA HUNDI YA TSH 1,000,000- MARANGU

Mshindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya WINDA NA USHINDE inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL) Honest Minja akiongea na wadau waliohudhuria hafla hiyo
 Mshindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya WINDA NA USHINDE kutoka Marangu, Moshi Honest Minja (kulia) akikabidhiwa hundi ya shilingi milioni moja na Meneja mauzo wa kanda ya kaskazini kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti Patrick Kisaka(kushoto) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi zawadi yake iliyofanyika WTC Bar jana Marangu Mtoni-Moshi.
 Kikundi cha Serengeti Mchakamchaka kanda ya kaskazini wakifanya yao katika kuonesha shangwe za mafanikio
Mshindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya WINDA NA USHINDE inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL) Honest Minja akiongea na wadau waliohudhuria hafla hiyo
Mshindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya WINDA NA USHINDE inayoendeshwa na kuchezeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL) Honest Minja akiwa ameshikilia hundi ya shilingi milioni moja mara baada ya kukabidhiwa jana Marangu Mtoni –Moshi.
Mshindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya WINDA NA USHINDE inayoendeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti(SBL) Honest Minja (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...