Jana baada ya kufanya
hili zoezi na familia yangu namshukuru Mungu Wakili wetu Peter Kibatala
alinipigia sim majira ya alasiri akanitaarifu ya kwamba Mume wangu yupo
Tabora na yuko salama. isipokuwa amepandishwa kizimbani na kusomewa
mashitaka mawili, UGAIDI na KUM'MWAGIA MTU TINDIKALI....Am speechless
familia yangu tunaitaji maombi yenu sana kuliko mnavyofikiria
Bw.Henry
Kilewo akiwa na watuhumiwa wenzake wa mashtaka ya Ugaidi yanayowakabili
wakati walipofikishwa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoani Tabora kwa mara
ya kwanza
|