
Hii ndio habari iliyo'make headline kwa sasa...Baada ya bibie Wema
Sepetu kutokea kwenye uzinduzi wa wimbo aliouachia week'end hii mtu
mzima Izzo B unaoitwa "Love me" na kujiachia kwa mapicha kazaa baada ya
show hiyo kumalizika.
Kuthibitisha hilo mtu mzima Izzo B akavutiwa waya na C.E.O wa gazeti la
makorokocho kutoka Clouds Fm, Soud Brown alikanusha habari hiyo; alisema
"we are just friends tu, ni mshkaji kama washkaji zangu
wengine...alitokea juzi kwenye uzinduzi wa wimbo wangu unaoitwa love me
niliofanya na Barnaba na Shaa, so waliibuka friends kibao kina Kajala
tukashow love..." aliongeza "huwa tunataniana darling..."