DOWNLOAD WIMBO MPYA WA ADAM MCHOMVU FT RADAR - AFRICAN LADY
Baada
ya kufanya vizuri na ile ngoma yake ya JONII JONII ambayo aliitoa miaka
kadhaa iliyopita na kuendelea kujizolea umaarufu zaidi, ADAM
MCHOMVU a.k.a BABA JONII sasa mpya kutoka kwa BABA JONII ni kuwa
ameachia tena ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "AFRICAN LADY"
...
Kwenye
ngoma hii MCHOMVU amelishirikisha kundi la RADAR ENTERTAINMENT ambalo
linaundwa na baadhi ya wasanii wakubwa kama TID, Ngwair, Country Boy,
Rommy Jones na wengine ...