![]() |
Chakula kitamu utajua tu; John Bocco anajilamba vidole |
![]() |
Ni kujipimia; Brian Umony kushoto na Waziri Salum kulia |
![]() |
Uhondo; Abdi Kassim 'Babbi' akila kwa raha zake |
![]() |
Kocha Muingereza, Stewart Hall akijadiliana mambo na Mratibu wa Azam katika mashindano ya Afrika, Florian Kaijage leo Golden Tulip |
![]() |
Mbunifu; Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi kulia akiwaonyesha blog ya BIN ZUBEIRY wachezaji wa Azam FC kupitia simu lake la hatari la Galaxy SI |
![]() |
Mtu na kaka yake; Bin Zubeiry na Kaijage Golden Tulip |
![]() |
Mkono wa Sure Boy; Picha hii imepigwa na Sure Boy...jamaa si soka tu, ana ujuzi mwingi |