
Huyu ndiye polisi aliyepigwa risasi wakati wa kuapishwa waziri wa kwanza mwenye asili ya kiafrika (Cecile Kyenge) nchini Italia.
Tukio hili lilitokea siku wanaapishwa mawaziri wa nchi hiyo ndipo akatokea jamaa anayedaiwa kuwa anamatatizo ya akili na kuanza kufyatua risasi ndipo akamjeruhi polisi.
Hata hivyo ripoti inasema kuwa polisi aliyejuruhiwa kwenye tukio hilo
amejeruhiwa sehemu ya shingoni na yupo hospital kwa matibabu. Hili
limeusishwa na masuala ya ubaguzi wa rangi.