Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Thursday, May 2, 2013

LUCY TOMEKA NDIYE REDD'S MISS DAR INDIAN OCEAN

 Redds Miss Dar Indian Ocean, Lucy Tomeka (katikati) akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la kuwania taji hilo, lililofanyika usiku wa kuamkia jana. Kulia ni mshindi wa pili, Sophia Yusuf, na mshindi wa tatu, Linda Joseph, wakipozi kwa pamoja baada ya kutangazwa washindi.
 Warembo hao wakicheza shoo ya pamoja ya ufunguzi wakati wa shindano hilo.
Warembo waliofanikiwa kutinga hatua ya tano bora, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi wa hatua hiyo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...