Picha: Ommy Dimpoz aushuhudia live uwanjani ‘Nou Camp’ mtanange wa Barcelona na Real Betis
Mkali
wa Bongo Flava Ommy Dimpoz aliyepo ziarani barani Ulaya, jana
ameishuhudia live uwanjani mechi ya Barcelona na Real Betis kwenye
uwanja wa Nou Camp wa Barcelona.
Katika mtanange huo, Barcelona ilishinda kwa bao 4-2.