Wyre ashinda tuzo za reggae kama msanii bora mpya wa kimataifa
Staa
wa muziki nchini Kenya, Wyre ameshinda tuzo ya mwanamuziki bora mpya wa
kimataifa wa reggae kwenye International Reggae Award and World Music
Award (IRAWMA) zilizofanyika Miami, Marekani.
Wyre amewapiku wasanii wakali wa Jamaica wakiwemo Chronixx na D-major.
“I wanna thank everyone who voted for and supported me at the Int. Reggae Awards. We did it!!!”