![]() |
Robin Van Persie Ameikata Jezi Namba 9 Ya Man Untd Aliyotakiwa Kuva Msimu Ujao Na Kusema Bado Anataka Sana Kuvaa Jezi Namba 20 Msimu Ujao Kwani Inaashiria Makombe 20 Ya Man Ya English Premier League Na Taji La Ishirini Alitia Nguvu Zaidi Yeye Likapatikana Akiwa Mchezaji Mwenye Magoli Mengi Zaidi. Robin Anamagoli 25 Mpaka Sasa Na Inasemekana Ndio Mchezaji Anayependwa Zaidi Na Mashabiki Wa Man Untd Kwa Sasa |




