KWELI HAWA JAMAA WANA WEKEZA KWENYE UTENGENEZAJI WA MOVIE! CHEKI JINSI MOVIE MPYA YA FAST 6 ILIVYOKUA IKITENGENEZWA
Kuna utofauti kwenye
utengenezaji wa movie za dunia kama hizi, kuna nyingine zina bajeti
kubwa na nyingine bajeti ndogo ila hii ya Fast 6 ni ya bajeti kubwa…
wakati mwingine unaweza kuwa na mawazo kwamba vile vitu ambavyo huwa
unaviona kwenye movie vinatengenezwa kwa asilimia kubwa na computer……
kwa kutazama hizi video nimejua mambo mengi sana ambayo kumbe huwa
yanafanyika kiukweli na hayatengenezwi na computer.