![]() |
Tv Star Kim Kardashian na mpenzi wake rapper Kanye West kwenye jiji la Paris wakifanya shopping kwa ajili ya Kim K ambae kwa sasa ni mjamzito. |
![]() |
Kanye West hakuwa kwenye mood nzuri ambapo alimpiga mkwara Paparazzi mmoja aliekua anataka kuuliza maswali, unaweza kutazama hiyo video hapo chini kabisa. |
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
