Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, May 6, 2013

KERI HILSON AINGIA JIKONI NA KUMPIKIA FUFU BOYFRIEND WAKE - STAR WA NBA SERGE IBAKA


Star wa muziki kutoka Marekani "Keri Hilson" ambae ni girlfriend wa mchezaji wa basketball, star wa NBA mwenye asili ya Congo - Spanish Serge Ibaka, amedhihirisha mapenzi yake kwa boy friend wake kwa kuingia jikoni na kupika chakula ambacho ni maarufu katika mila na asili za boyfriend wake huyo, kama unavyojua uki date na mwanaume wa kiafrika, lazima anakuwa na matarajio flani kutoka kwa mwanamke hasahasa katika maswala ya msosi na mapishi
Mwanadadiva aliehit na “Pretty Girl Rock” dhahiri hakuwa na aibu ya kuwa mbali na matarajio hayo pale alipoweka  ustar pembeni na kumtengenezea boyfriend wake chakula cha asili yao kinachoitwa "fufu"
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...