Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, May 6, 2013

LIL WAYNE AKIMPA TAFU FLOYD MAYWEATHER WAKATI WA KUINGIA ULINGONI HUKU AKIIMBA ''No Worries''. ANGALIA HAPA VIDEO HIYO



Kama kawaida yake ya kuingia na wasanii kwenye stage, juzi Floyd Mayweather aka Money aliingia ulingoni kuzichapa na Robert Guerrero kwa kusindikizwa na Lil Wayne. Weezy alimpa kampani Money hadi kwenye ulingo huku akiperform ngoma yake, No Worries. Tazama video.
Lil+Wayne+Floyd+Mayweather+Jr+v+Robert+Guerrero+ONtq_k4tD7ox
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...