Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, May 7, 2013

AMANDA- MIMI SIYO CHIZI


Muimbaji Amanda Bynes amesema kuwa hana matatizo ya akili zaidi ya kufanya kile ambacho anaamini mashabiki wake wanapenda kukiona na kusikia

Alisema hayo baada ya watu wengi kusema kuwa ana matatizo ya akili na ni mlevi kupitiliza alisema hanywi pombe kwa kuwa pombe hiyo inamdhuru na anachokifanya ni kufurahisha mashabiki wake
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...