Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, May 7, 2013

LIPSTICK YA RIHANNA KIBOKO




Katika kile kinachoonekana kubadilika siyo tu kwenye muziki bali hata kwa jambo analolifanya au kufanyiwa muimbaji Rihanna aliingiza sokoni rangi ya mdomo na kuisha ndani ya saa tatu

Muimbaji huyo aliandika katika ukurasa wake wa twitter akitangaza biashara hiyo lakini baada ya masaa matatu aliandika tena kuwa bidhaa hiyo imekwisha
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...