Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, May 7, 2013

CHECK OUT :SNURA WA MAJANGA NDANI YA SOUTH AFRICA,MTOTO KAIVA MBAYA:

 Yule mwanadada mkali anaetamba na wimbo wa  MAJANGA Anaejulikana kama SNU SEX mwiitwe SNURA leo anamalizia baadhi ya clip ya video yake ya majanga south Africa ambapo alikwenda huko kwa ajili ya kufanya filamu na kurecord video.
 Pia unaweza kuupata wimbo wa majanga kama MUUTO KWENYE SIMU YAKO andika GB kasha tuma kwenda 15050



Kampuni ya emage array ndio inafanya video hiyo south Africa chini ya msimamizi ABBY KAZI.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...