Picha: Mastaa 12 wanaoogopa kupanda/kusafiri kwa ndege
Kwa
wengine licha ya kuwa matajiri, suala la kupanda ndege ni adhabu kubwa.
Wanaweza kuvumilia safari ndefu ya basi ama treni lakini sio kupanda
ndege. Kama wakipanda ndege, hujikuta wakiloana mwili mzima kwa jasho na
kutetemeka safari nzima, hakuna amani. Hawa ni mastaa 12 wanaofahamika
kuwa waoga wa kupanda ndege. Dennis Bergkamp
Jennifer Aniston
Ben Affleck Megan Fox Whoopi Goldberg Enrique Iglesias Kate Winslet R.Kelly KRS-One Aretha Franklin Britney Spears