Mwenyezimungu kwa kujifungua salama na nimepata Baby boy nimefurahi sana
unajua siku mambo ya uzazi yanavyokuwa lakini pia asante kwa nyinyi
rafiki zangu kuja kunitembelea na kujua hali yangu na mimi nipo salama
kabisa na mtoto yupo sawa,”anasema Davina.Davina alitembelewa na wasanii
wenzake katika Hospitali ya Agakhan kumpongeza wasanii hao walikuwa ni
Jenifer Kyaka ‘Odama’, Salama Salmin ‘Sandra’, na kiongozi wa kundi la
Bongo movie Herith Chumila wakiwa wenye furaha kwa rafiki yao kujifungua
salama na kuwaletea mtoto wa kiume.
|