
Hunters iliwasafirisha washindi hao kwa ndege hadi Zanzibar ambako walifurahia beach party kwa takriban wiki nzima huku wasanii wakubwa kutoka Afrika Kusini wakiwemo AKA, Donald na Locnville wakiwaburudisha. Party hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya kifahari ya Sandies Neptune Pwani Beach. Hizi ni baadhi ya picha za ziara hiyo.

Vanessa Mdee






Donald

AKA


Vanessa Mdee


AKA
















