KWELI ZA MWIZI AROBAINI ANGALIA KIBAKA AKIPELEKWA KITUO CHA KATI MJINI MOROGORO
Askari
magereza na askari kanzu wakiwa wamemdhibiti kijana anayedaiwa kuwa ni
kibaka baada ya kuiba simu ya mkononi katika stendi kuu ya daladala
ziendazo nje ya Manispaa ya Morogoro wakati wakimpeleka katika kituo
kikuu cha polisi mkoani Morogoro.