Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, September 9, 2014

Ujio mpya wa Jux umeusikia?kama bado ni huu hapa.

10670099_825193774177591_597196409232706159_nMiongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux inawezekana labda aina ya muziki anaoufanya kuwagusa wasichana wengi. 10613078_823236544373314_5277052851661427969_n
Zimesikika zingle zake kadhaa ikiwemo Napata Raha,Nitasubiri ,Uzuri wako na hii iko kwenye list ya single zake ambazo amesema anategemea zitafanya vizuri zaidi,Jux pia ni mmoja kati ya wanaounda kundi la Wakacha akiwepo na Cyril.
Bonyeza play kusikiliza.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...