Wakati
wakristo duniani kote wakisherehekea Pasaka,watoto 17 wamezaliwa katika
mkesha wa Pasaka Hospitali ya Rufa mkoani Iringa wakiwemo wa wakiume 11
na wa kike sita (6). Kwa mjibu wa Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya
Rufa Mkoa wa Iringa, Dkt. Deogratius Manyama amesema kuwa watoto kumi na
moja wamezaliwa kwa njia ya kawaida na watoto sita wamezaliwa kwa njia
opresheni. Ameongeza kuwa hali za watoto na mama zao zinaendelea vizuri (FRIDAY SIMBAYA)