"Namshukuru
Mungu kwa ushirikiano wa wadau wote, dua na sala zenu Bodi ya
wakurugenzi ya TPA imenithibitisha katika nafasi ya Mkurugenzi wa
Teknolojia ya habari na mawasiliano wa TPA baada ya kuridhika na
utendaji wangu naomba tuendelee kushirikiana ili tuinue uchumi wa nchi
yetu , nitaendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kutumia vizuri
taaluma yangu kwa faida ya Taifa letu, Thank U all."