Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye pia
ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (wa pili kulia waliokaa) akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa TBL pamoja na
wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, Dar
es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (wa pili
kushoto), akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na Wanahisa katika
Mkutano Mkuu wa 40 wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Company Secretary wa TBL, Huruma Ntahena,
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, ambaye pia ni Waziri Mkuu
mstaafu, Cleopa Msuya na Mshauri wa kampuni hiyo, Phocas Lasway.
Ofisa Sheria wa TBL, Huruma Ntahena akifafanua kuhusu gawio la hisa kwa wanahisa mwaka huu.
Baadhi ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo
Mwanahisa
Adrian Makelele, akichangia mada katika Mkutano Mkuu wa 40 wa Mwaka wa
Wanahisa wa kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam
Mshauri
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Phocas Lasway (kushoto), akifafanua
jambo kwa wanahisa katika Mkutano Mkuu wa 40 wa Mwaka wa Wanahisa,
jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin
Goetzsche.
Mwanahisa Mchiwa Chedego kutoka Dodoma akichangia hoja
Mwanahisa Albert Manga akichangia hoja
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye pia
ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (katikati) Kulia ni Ofisa Sheria wa
TBL, Huruma Ntahena.
Mmoja wa wanahisa akiuliza swali
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ambaye pia
ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (katikati) akijadliana jambo na
Mkurugenzi Mtendaji TBL, Robin Goetzsche katika Mkutano Mkuu wa 40 wa
Mwaka wa Wanahisa, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa
Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo.
Vinywaji mbalimbali vinavyotengenezwa na TBL

es Salaam