Kamanda
wa polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime akiwaonyesha waandishi wa habari
moja ya mitambo ya kutengenezea pombe Haramu aina ya Gongo
waliyoikamata hivi kalibuni katika wilaya za mpwapwa na kongwa, na
kumshikilia Taita Rashid pamoja na gongo lita 600(Picha na John Banda)





