Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, July 5, 2013

NYUKI WALETA KIZAZA MOROGORO ,WAJERUHI VIBAYA

 Mzee mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa amelala chini baada ya kushambuliwa na nyuki katika eneo la stedi ya daladala mkoani morogoro.Zahama hilo lilitokea leo mchana hali iliyosababisha taharuki kubwa na kusababisha watu kukimbia huku na kule 
Mzee huyu akiwa amejeruhiwa vibaya usoni mara baada ya kung'atwa na nyuki katikati ya mji wa morogoro leo

Wasamaria wema wakipiliza dawa na kumfunika mzee huyo kwa kutumia vyandarua ili kuwadhibiti wadudu hao leo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...