Msanii
mkongwe kwenye soko la filamu Tanzania,Yvonne Cherry "Monalisa"
amesema hatarajii kuolewa tena baada ya kuvunjika kwa ndoa
zake kadhaa ikiwemo ile ya producer Tyson.
Akisimulia mikasa ya maisha yake mbele ya mwandishi
wetu,Monalisa aliema kuna siku walipokuwa kwenye kikao cha
sendoff ya mama yake, alitania na kusema ataolewa disemba
lakini hakuwa serious.
"Sina mpango wa kuolewa kabisa,kwanza sina mchumba, ntaolewaje?
"Siku ile nilikuwa natania tu kwa sababu sipo tayari kuolewa na kuachika tena"..Alisema Monalisa




