Gari aina ya Toyota ist lenye
namba T 635 CEP kama linavyoonekana pichani limeibiwa na wezi vifaa
mbalimbali eneo la Buguruni Chama usiku wa kuamkia leo kama lilivyo
kutwa na mwandishi wetu, hadi tunaondoka eneo la tukio saa 1:30 asubuhi
mwenye gari alikuwa hajaonekana.
Kioo kidogo cha nyuma kilivunjwa na taa kung'olewa.