Adrian
Günter alijenga hotel hii ya Igloo mwaka 1996 ambayo iko kwanye milima
kwa ajili ya watu waopita kwenye vijiji saba vilivyoizunguka Andorra,
Switzerlanda na Ujerumani kwamba wakifika eneo hili iwe kama mapumziko
baada ya safari ndefu.Hoteli hii ufurika watu mpaka kufikia watu elfu 10
kwani kuna watu wengi ambao utembelea wakati sikukuu ya Chrismass.
Licha
ya watu kutebelea kwenye hoteli hii ila kuna onyo kwa watoto wenye
miezi chini ya 19 na wazee wenye miaka kuanzia 83 na kuendelea
hawaruhusiwi kuingia kwenye hotel hii maana barid ni kubwa na linaweza
kuleta madhara kwao
Huu ndio mwonekano wake kwa juu
Wageni wakiwa kwenye mojawapo ya chumba kwenye hotel hiyo
Endelea kutizama picha hizi kwa kubofya hapa chini
Hiki ndicho mojawapo ya chumba na sehemu unayoiona ina rangi nyekundu hapo ndo kuna kitanda na hayo ndio mashuka yake
CHANZO: PIX GROVE

















