IDD AZZAN" NIPIGWE RISASI NIKIGUNDULIKA NAJIUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA"
Baada ya Barua iliyosambaa mtandaoni
ikimtaja Mbunge Iddi Azzan kuwa ni mmoja wa wauza Madawa ya kulevya
..Amejitokeza na kujipeleka polisi Mara mbili ili wamchunguze , katika
mahojiano yake na kituo kimoja cha TV amesema kuwa yeye hausiki katika
biashara hiyo bali ni watu wanao mchafua ili aangukie kisiasa..pia
amesema kuwa endapo itabainika kuwa anausika yupo tayari kupigwa Risasi
au kunyongwa...