Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, June 25, 2013

THIS IS ANOTHER GOOD NEWS FOR OMOTOLA JALADE: KALA BONGO LA SHAVU MTU WANGU;

Omotola akiwa na mume na watoto wake.

Omotola akiwa na mume wake na watoto.
Nuru ya Wanigeria kufanya vizuri kwenye hii dunia inazidi kung’aa…. imekua ni kawaida sasa hivi kuona Mnigeria akifanya kolabo au kushea stage na staa mkubwa kwenye muziki Marekani, mfano mzuri ni kina P Square na Rick Ross, Wizkid na Chris Brown, Kanye West na D’Banj, D’Banj na 2Chainz na wengine wengi.`
Goodnews ya sasa ni kwamba staa wa movie ambae aliwahi kuja Tanzania kwenye uzinduzi wa movie ya kwanza ya mwigizaji Wema Sepetu, Mnigeria Omotola Jalade ametangaza show yake ya TV ‘Hit the Floor’ kuanza kuonekana nchini Marekani June 24 2013 ambapo ndani yake wameshirikishwa mwigizaji staa wa Hollywood Marekani Kimberly Elise na mwimbaji staa Akon.
Ni drama series ambayo itaonekana kupitia VH1.Omotola Tv show US June 24 2013
Omotola 1

Omotola 2


Kimberly Elise
Kimberly Elise

.
Akon
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...