
Marehemu
Albert Kenneth Mangweha enzi za uhai wake.Mdau wa muziki nchini, Miraji
Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete leo
amekabidhi fulana kwa ajili ya shughuli ya msiba wa msanii Albert
Kenneth Mangweha katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.