Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, June 3, 2013

KUTOKA SINTAH BLOG, SOMA ALICHOKISEMA KUHUSU DEMU ALIYEMWAGA RADHI KATIKA SHINDANO LA KUMSAKA REDS MISS TABORA 2013

maajabuu ya musa.........
kubinuka binuuuu, wee Ommy Dimpoz ndo unavyochengua watu hivyo? Lols
wabunge wakijionea mambo 

Hatimaye Miss Tabora akapatikana
Jamaniiiii hizi pombe za ukubwani hizi yaani mtu unajichezea tuuu hujui wakina nani wanakuangalia, huna habari nani ana hamu ya kuona sehemu zako za sirii aishii cheap,cheap.
Burudani ilikuwa nzuriiiii lakini wafakamia bia za bure siku zote huwa hawana nidhamu heeee kunywa bila standard ndo mwisho wake kukatika mshipa wa staha na aibu na kuanza kutia doa sherehe. Libeneke la shosti hapo mbele ya waheshimiwa jamaniiiiiii au ndo kujipa promo?????

Aiiii wadada tunakuwaje siku hizi Lolest. Tupunguze parakatumba eeeh.
Hongera kwa Miss Tabora 2013, she is beautiful.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...