Video: Lord Eyez akiongelea kuhusu Weusi, maproducer anaopenda kufanya nao kazi na rappers anaowakubali
Wiki hii kwenye kipindi cha Trending Africa cha Times FM 100.5, Lord
Eyez alifunguka mengi kuhusu asili yake, maproducer anaopenda kufanya
nao kazi, tofauti ya Weusi na Nako 2 Nako, jinsi walivyosota na Joh
Makini baada ya kuja Dar kurekodi na rappers wa Tanzania anaowakubali.
Trending Africa huendeshwa na Raheem Da Prince, Moko Biashara na Dj R Guy. Itazame video ya interview hiyo.