PICHA 9 ZA KAZI YA URBAN PULSE KUTENGENEZA VIDEO YA BAD GYAL HUKO U.K
.Ni
utengenezwaji wa video ya msanii mpya wa Urban Pulse Creative Mish Da
Fyah Sis featuring Pascal – BAD GYAL ambayo imetengenezwa na Furious T,
shot and directed By Frank for Urban Pulse Creative Media.