![]() |
Ajali ilitokea kwenye eneo la Mboga karibu na Chalinze, millardayo.com haijapata taarifa zozote za vifo ila abiria wengi wamejeruhiwa. |
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
..
![]() |
.
![]() |
.
![]() |
Hawa walitaka kuibia majeruhi ila wakadakwa.
|
![]() |
Kondakta wa basi ndio huyu ambae aliteguka kiuno ambapo kuna mama ambae mguu wake ulikatika.
|
