Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Thursday, May 2, 2013

JE USHAWAHI KUMWONA SHABIKI MFUPI ZAIDI WA TAARAB! MCHEKI HAPA

   Tausi akiwa amelivamia jukwaa  na kunengua na Mzee Yusufu.
      …Akionyesha ‘matindo’ ya aina yake.
      …Akiserebuka na dada yake.
   …Akiwa jukwaani amepozi na Khadija Yusufu.
Mpenzi wa miondoko ya ‘rusha roho’ (taarab), Tausi Mdegela, ambaye alikuwa ni  mfupi zaidi kuliko mashabiki wote waliojitokeza kushuhudia onyesho la bendi ya taarab ya Jahazi lililofanyika jana usiku katika ukumbi wa Dar Live alitoa burudani kali kwa mashabiki waliotimba katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...