Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Wednesday, May 8, 2013

JE NANI ANAWEZA KUVAA VIATU HIVI ???

 




Sir Alex Ferguson Ametangaza kuwa anaachia ngazi siku ya mwsiho ya msimu huu akiwa kama mkufunzi wa timu hiyo ,mkufunzi huyo ambaye amepata mafanikio zaidi kuliko kocha mwingine yoyote kwenye ligi hiyo atasalia akiwa kama mkurugenzi wa ufundi na balozi wa timu hiyo.
 mechi kati ya manchester na West Bromwich Albion itakayochezwa  19 May na atajiunga na bodi ya timu hiyo , Sir Alex Ferguson Anasema   "Maamuzi ya kustaafu yamekuwa magumu sana nimekuwa ni kifikili kuwa limekuwa jambo kubwa sana na ni wakati muafaka ,ilikuwa ni muhimu sana kuaondoka kwenye taasisi kubwa kama hii ambayo tumefanya mambo makubwa sana na ninaamini nimeyafanikisha kwa sasa "
.
"Ukienda mbele zaidi , Ninahitaji kuwa Mkurugenzi wa ufundi na balozi wa klabu katika shughuri za kila siku za klabu hii na mwisho amewashukuru zaidi manchester united na mashabiki kwa ujumla ." kwa ushirikiano walionipa kwa miaka mingi sana ni heshima kubwa sana kwangu na kwa klabu pia ya Manchester United" kocha wa Everton  David Moyes, ambaye anapendwa na  Ferguson , inaaminika kuwa ni kocha ambaye anaweza kuichukua na kufundisha klabu hiyo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...