Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Thursday, May 2, 2013

FHM lamtaja Mila Kunis kama msichana mrembo zaidi duniani (2013), Rihanna ni wa 2

Jarida la FHM, limemtaja muigizaji wa filamu Mila Kunis kama msichana mrembo zaidi duniani kwa mwaka 2013. Milena Markovna Kunis ana asili ya Ukraine ambao yeye na wazazi wake walihamia Marekani mwaka 1992.
mila-kunis-hairstyles
Filamu alizoigiza ni pamoja na Ted, Friends with Benefit, Max Payne na zingine.

Mila Kunis - Black Swan Junket
GEMFIELDS Mila Kunis
Mila Kunis by Craig McDean (Interview August 2012)
Mila-Kunis-8
FOX Fall Casino Party - Arrivals
FOX Fall Casino Party - Arrivals
Mila-Kunis-W-Magazine-Photoshoot-7
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...