ANGALIA PICHA JINSI OMMY DIMPOZ ALIVYOPIGA SHOW YA KUFA MTU JANA NCHINI ITALIA,
Usiku wa
kuamkia jana kwenye siku ya wafanyakazi duniani, May Mosi, Ommy Dimpoz
alikuwa jijini Milan Italia ambako alipiga show ya kufa mtu. Katika show
hiyo, Ommy Dimpoz alifanikiwa kupata mashabiki kibao wakiwemo wazungu
wa nchini humo. Hizi ni picha za show hiyo.