Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, April 15, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMANNE APRIL 16 HUU HAPA




WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 16/04/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, na Tabora]:


Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika
baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Dodoma na Singida ]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Mbeya, Rukwa na Iringa]:
[Mkoa wa Morogoro]

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Ruvuma]

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C
1836
D'SALAAM
31°C
1823
DODOMA
29°C
1837
KIGOMA
28°C
1902
MBEYA
26°C
1845
MWANZA
28°C
1850
TABORA
28°C
1850
TANGA
32°C
1825
ZANZIBAR
30°C
1823
PEMBA
31°C
1825
MOROGORO
31°C
1832

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi yakm 30 kwa saa kwa Pwani yote

Hali ya bahari:Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi..

Matazamio kwa usiku wa leo Jumanne 16/04/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 16/04/2013.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...