SHEIKH MOHAMMED BIN RASHID AL MAKTOUM WA DUBAI AFANYA KUFURU AMWAGA LAMBORGHINI KWA ASKLARI WAKE
Wakati bado wakazi wa dubai hawajasahau kufunguliwa kwa jengo refu
kuliko yote duniani..kiongozi wao ametoa kali nyingine,Al maktoum
aligawa new mode lamborghini aventador katika vituo vya polisi ili
zitumiwe katika patrol..kabda ya hapo polisi walikuwa wakitumia prado
suv na bmw 5 series,nchi ya Qatar ndio ilikuwa ya kwanza kwa polisi wake
kutumia lamborghini kama magari ya patrol,katika hotuba yake al maktoum
alisema ameamua kutoa lamborghini na ferrari kutokana na spidi nzuri ya
magari hayo..lamborghini ina spidi ya 217mph..picha zimekataa ila
nakuomba uandike lamborghini in dubai police utaona zilivyopendeza..
Polisi wa hapa dubai wanaishi maisha mazuri kuliko fani nyingine
nyingi na ndoto ya vijana wengi walio vyuoni na shuleni ukiwauliza
wanasema wanataka kuwa polisi,katika pitapita zangu niliwahi kuulizia
mshahara wa polisi nikaambiwa kwa kuanzia ni almost 35,000/ dhs ambazo
ni sawa na tsh 15ml..pia wana huduma zote..ukienda kwenye vituo vyao
utakuta magari na pikipiki nyingi kuliko ata namba ya polisi wenyewe..
Wakati mwingine mimi siwalaumu polisi wetu wa bongo maana maisha yao
tunayajua..husiongelee vifaa vya kazi bali ata uniform tu ni
tatizo,tazama viatu!!nyumba zao!!wakiomba chai huwa sishangai ata
kidogo..maana mtu hajuhi kesho atakula nini!!