Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, April 29, 2013

PICHA ; Mh. LEMA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI AACHIWA KWA DHAMANA LEO BARABARA ZAFUNGWA KWA MUDA

Wafuasi wa Chadema wakiwa nje ya viwanja vya mahakama kuu kanda ya Kaskazini wakifuatilia kesi ya Mbunge wao Mh.Lema leo.       










Mh. Lema na Mh. Nassari wakiwa kwenye gari wakati wakitoka mahakamni






Wafuasi wa Chadema wakiwa na wabunge wao katikati ya mji wa Arusha






Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...