
Wachezaji
wa Veterani Moro'Kioo cha jamii wakipata chkula jana mchana mkoani
Shinyanga kabla ya kuelekea jijini mwanza kushiriki Bonanza.
Timu ya Queens Moro Veteran akiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuwakabila wenzao wa Dodoma kwenye bonanza hilo leo asubuhi
Mshambuliaji hatari ya Moro Queens Veteran Kaundime akimiliki mpira huku akichunga na beki wa Dodoma Veteran
Baadhi ya wachezaji wa Moro Veterani
wakiwashngaili Queens Vetera kwenye mchezo huo ambao hadi matandai huu
unaenda hewani Moro Vetera walikuwa nyuma ka bao 20-17
Mchazaji wa zamani wa Yanga Pamba ya
Mwanza na taifa stars Fumo Felisia[kushoto] ambaye kwa sasa ancheze
veterani ya Mwanza akimtoka kwa kasi beki wa Arusha Veterani Preso
Pawasa timu hizo zimetoka sale ya bila kufunga.
MKUU wa Mkoa wa mwanza Evalisti Ndikila leo
asubuhi amefungua bonanza la wachezaji wa zamani'Maveterani wa Mikoa ya
Bukoka,Arusha,Dodoma,Morogoro na wenyeji Mwanza kwenye uwanja wa CCM
Kirumba