Jana katika mkutano wa kilosa-moro katibu mkuu wa ccm na katibu mwenezi walizomewa na wananchi baada ya kushindwa kujibu maswali walioulizwa hali iliyomlazimu Kinana kufunga mkutano fasta na kuelekea pasipo julikana.,

Chanzo:TANZANIA DAIMA.