Msanii
aliewahi kuchukua tuzo mwaka jana kwa umahiri wake wa kuimba vizuri
mziki wa taarabu, Isha Mashauzi, leo hii kupitia u heeeeard na Gossip
Cop Sudy Brown, ametuhumiwa kuiba pochi la mwenye duka maeneo ya
Kariakoo, na huku ikisemekana pochi hiyo ilikuwa na mkwanja wa mauzo,
shilingi 758,000.
na bongoclan