Tabia za kushiriki mapenzi ya jinsia moja yameongezeka kwa kasi ya ajabu hasa hapa kwetu TZ, wadada nao hawapo nyuma nao wanapenda mapenzi ya jinsia moja (kusagana)....!!
Showing posts with label maadili. Show all posts
Showing posts with label maadili. Show all posts
Wednesday, July 31, 2013
TABIA ZA WADADA KUSAGANA ZAZID BAMBA KASI NCHINI...TAZAMA UCHAFU HUU WA DADA ZETU(+18 nakuendelea)
Tabia za kushiriki mapenzi ya jinsia moja yameongezeka kwa kasi ya ajabu hasa hapa kwetu TZ, wadada nao hawapo nyuma nao wanapenda mapenzi ya jinsia moja (kusagana)....!!
Monday, July 15, 2013
LICHA YA MWEZI MTUKUFU... MACHANGU WANAENDELEA KUPIGA MZIGO KAMA KAWA!
Na Richard Bukos
OPARESHENI
Fichua Maovu (OFM) inayoendeshwa na mapaparazi wa Global Publishers
inazidi kufichua ‘madudu’ kwenye jamii, safari hii imekutana na machangu
ambao wamecharuka kuendeleza biashara hiyo kwa kisingizio cha kutafuta
fedha za kununulia futari.
‘Askari’
wa OFM, wiki iliyopita alifanya uchunguzi katika viunga mbalimbali
maarufu kwa biashara hiyo na kukuta machangudoa wakifanya biashara yao
kama inavyokuwa katika miezi ya kawaida.
Maeneo
ambayo yalionekana kushamiri zaidi kwa biashara hiyo ni Barabara ya
Mwananyamala Hospitali, American Chipsi, Makaburi ya Kinondoni, Viwanja
vya Leaders Club, Taasisi ya Moyo, Jolly Club (Masaki), Hospitali ya
Agha-Khan, New Maisha Club (Masaki) na Coco Beach. NA GPL
Ili
kujiridhisha kwa data, paparazi wetu alijifanya mteja na kukutana na
machangu wa Makaburi ya Kinondoni ambao walidai wanapenda waitwe
‘scraper’ au vyuma chakavu pasipo kufafanua zaidi, bahati mbaya
wakashtukia mchezo:
Changudoa:
“We kaka mbona unatuzingua? We ulivyokuja si ulijifanya mteja, kumbe
paparazi, sisi hatuwezi kuacha kujiuza kwa kuwa ndiyo kazi tuliyoizoea,
sasa tukikaa nyumbani tutapata wapi futari?” alihoji mmoja wa
machangudoa.
Paparazi: “Hivi ni kweli nyie mnafunga?”
Baadhi ya
waumini wa dini ya Kiislamu waliozungumza na Ijumaa Wikienda,
walionesha kukerwa na tabia hiyo na kulaani vibaya kwani mwezi huu ni
maalum kwa ajili ya kumrudia mwenyezi Mungu na kuacha dhambi.
Friday, July 12, 2013
Mashoga waendelea kulitisa bara la Afrika watetewa na wakili wa Umoja wa Ulaya.
Raia wawili nchini Malawi wanaotuhumiwa kuendesha ndoa ya jinsia moja wakiwa chini ya Ulinzi. (Picha na Maktaba).
Wakili
mmoja wa Umoja wa Ulaya amependekeza mashoga kutoka nchi ambazo sheria
zao zinayachukulia mahusiano ya watu wa jinsia moja kuwa haramu, kwamba
wanapaswa kupewa hifadhi.
Wakili
Eleanor Sharpston alikuwa akizungumza katika kesi ambayo wanaume watatu
kutoka Sierra Leone, Uganda na Senegal walinyimwa hadhi ya wakimbizi
nchini Uholanzi.
Serikali ya Uholanzi imesema wanaume hao wangekuwa na miendo ya kujizuia katika nchi zao.
Watu wengi wa jinsia moja walio katika mahusiano ya kimapenzi wanaoishi barani Afrika, wanakabiliwa na kutengwa na mateso.
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema ushoga ni hatia katika nchi 38 za Afrika.
Friday, July 5, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)
